1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Huzuni Kisumu baada ya uamuzi wa mahakama

Musa Naviye5 Septemba 2022

Baadhi ya wakaazi wa kaunti ya Kisumu, ambayo ni ngome kuu ya Raila Odinga, wameukosoa uamuzi wa mahakama ya upeo chini ya jaji mkuu Martha Koome, hasa baada ya kuutupilia mbali ushahidi uliowasilishwa na mrengo wa Azimio la Umoja. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Musa Naviye.

https://p.dw.com/p/4GRdN