1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni na matarajio ya Wakenya kwa utawala wa William Ruto

20 Novemba 2023

https://p.dw.com/p/4GlpN

Shughuli ya kumuapisha rasmi William Ruto imefanyika kwenye uwanja wa kimataifa wa michezo wa Kasarani hapa jijini Nairobi. Haya ni baadhi ya maoni na matarajio ya Wakenya utawala wa Rais William Ruto unapoanza.