Urusi yaendeleza mashambulizi nchini Ukraine na kuushikilia mji muhimu. Tume ya Haki za Binadamu nchini Kenya yawashtaki mawaziri kadhaa kwa uzembe na kushindwa kuwalinda waathirika wa mafuriko. Waziri Mkuu wa Slovakia afanyiwa upasuaji mwingine siku mbili baada ya kushambuliwa kwa risasi.