1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 50 ya DW Kiswahili

Kwa mara ya kwanza 1963 mitambo ya idhaa ya kiswahili Dw ilipowashwa ikawa kituo mujarabu kwa wazungumzaji wa kiswahili kusikiliza habari kutoka kila pembe ya dunia.